Rais Samia asafiri kwa SGR kuelekea Dodoma pamoja na Rais wa Angola
JamhuriComments Off on Rais Samia asafiri kwa SGR kuelekea Dodoma pamoja na Rais wa Angola
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mgeni wake Mhe. João Manuel Conçalves Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola wakiwa katika Stesheni ya Magufuli tayari kwa safari ya kuelekea Jijini Dodoma kwa ajili ya uzinduzi wa Mji wa Serikali Mtumba,tarehe 30 Oktoba, 2026.: Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiwa na mgeni wake Mhe. João Manuel Lourenço, Rais wa Jamhuri ya Angola, wakisafiri kwa treni ya mwendo kasi (SGR) kutoka Dar es Salaam kwenda Dodoma kwenye Uzinduzi wa Mji wa Serikali Mtumba, leo tarehe 30 Oktoba, 2026.