Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na JWTZ
JamhuriComments Off on Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na JWTZ
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Daniel Francisco Chapo akikagua Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Mei, 2025.