Author: Jamhuri
Baada ya ukaguzi Kidatu Dk Biteko atua kituo cha kupoza umeme cha Zuzu Dodoma
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Baada ya ukaguzi wa matengenezo ya mitambo ya umeme Kidatu mkoani Morogoro leo tarehe 1 Aprili, 2024 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko ametembelea na kukagua Kituo cha kupoza umeme cha…
Mwalimu,mwanafunzi washambuliwa na kuuawa wakiwa nyumbani kwao Mbeya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya MWALIMU wa Shule ya Msingi Mbugani Wilayani Chunya aitwaye,Herieth Lupembe (37) na mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Isenyela, Ivin Tatizo (15) wameuwawa na vitu butu kichwani wakiwa nyumbani kwao Kijiji cha…
Naibu Waziri Mkuu akagua matengenezo ya mashine za kufua umeme Kidatu
📌Ni kufuatia hitilafu ya umeme kwenye mfumo wa Gridi 📌Aigaza TANESCO kutafuta mwarobaini wa tatizo la kufeli kwa Gridi mara kwa mara 📌Awataka kufanya ukarabati wa vituo vya kufua umeme, ili kuvipa ufanisi 📌Awatahadharisha juu ya uwepo wa mvua nyingi…
Tanzania, Burundi zasaini hati za makubaliano ya ushirikiano sekta ya madini
Bujumbura, Burundi Mawaziri wa Sekta ya Madini wa Burundi Mh. Eng. Ibrahim Uwizeye na Tanzania Mh. Anthony Mavunde leo wamesaini hati ya makubaliano ya kushirikiana kwenye sekta ya madini ili kukuza mchango wa sekta hii katika uchumi wa nchi mbili…
Taifa Gas yajidhatiti kufikisha huduma ya gesi kwa gharama nafuu
Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Wakati serikali ikiendelea kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited imesema imejidhatiti kuweza kufikisha huduma ya gesi nchi nzima kwa gharama nafuu. Hayo yamebainishwa jijini Dar es…





