JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waziri Mbarawa ataka kasi ujenzi reli ya SGR

Na Allan Vicent, JamhuriMedia, Tabora Waziri wa Ujenzi Profesa Makame Mbarawa amemwagiza mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kutoka Makutupora-Tabora kuongeza kasi ili kukamilisha mradi huo kwa wakati. Ametoa agizo hilo jana baada ya kutembelea…

Tanzania kuadhimisha siku ya mbolea Tabora

Na Allan Vicent, JamhuriMedia,Tabora TANZANIA inatarajiwa kuungana na mataifa mengine kuadhimisha siku ya mbolea duniani itakayofanyika Kitaifa Mkoani Tabora kuanzia tarehe 11 hadi 13 Oktoba mwaka huu katika Uwanja wa Chipukizi uliopo katika Halmashauri ya Manispaa Tabora. Akitoa taarifa kwa…

Kasi ya usambazaji dawa unaofanywa na MSD waondoa uhaba wa dawa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Lindi Ongezeko la awamu za usambazaji wa dawa kutoka nne kwa mwaka hadi sita umetajwa kusaidia kuondoa uhaba wa dawa katika maeneo ya huduma na kuondoa upelekaji wa dawa zilizokaribia kuisha muda katika vituo vya afya….

Wawekezaji wakaribishwa soko la utalii nchini

Na Andrew Chale, JamhuriMedia WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amesema Serikali ya Tanzania inafanya maboresho makubwa kwenye miundombinu sekta ya utalii na amewakaribisha wawekezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani kuja kuwekeza nchini kwa kuwa Tanzania imejaaliwa kuwa na maliasili…