Author: Jamhuri
NMB yatoa vifaa vya mil. 40/- kwa shule, zahanati, Hospitali Mafia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mafia BENKI ya NMB, imekabidhi misaada mbalimbali yenye thamani ya Shilingi Milioni 40 kwa Hospitali ya Wilaya ya Mafia, zahanati tano na shule moja ya sekondari wilayani humo, ikiwa ni sehemu ya Programu ya Uwekezaji kwa Jamii…
Chalamila akutana na wadau wa mazingira na kuweka mikakati ya kukabiliana na mvua za El Nino
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila leo Septemba 26,2023 amekutana na wakandarasi wanaosafisha mito katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo, Wenyeviti wa mitaa, wasafishaji wadogo wa mito na wachimbaji wa madini mchanga, wataalam…
Zaidi ya mbwa, paka 4000 kuchanjwa Kibaha
Na Byarugaba Innocent, JamhuriMedia, Kibaha Mbwa na Paka 4400 wanatarajiwa kuchanjwa dhidi ya ugonjwa wa kichaa cha Mbwa kwenye Halmashauri ya Mji Kibaha kuanzia Septemba 28,2023 ambapo hafla ya uzinduzi wa maadhimisho itafanyikia kwenye Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa…
Madaktari wazawa waendelea kupandikiza figo Muhimbili
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMediaMadaktari wazawa Hospitali ya Taifa Muhimbili wanaendelea kufanya upasuaji wa kupandikiza figo ambapo wagonjwa 12 kuanzia leo watapata huduma hiyo sita kati yao watafanyiwa Upanga kwa njia ya kawaida na sita watafanyiwa wiki ijayo huko Mloganzila kupitia…
MSD : Upatikanaji wa dawa nchini umeimarika
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa nchini (MSD), Mavere Tukai amesema amesema kuwa upatikanaji wa dawa nchini umefikia asilimia 81 mwezi Juni 2023 kutoka asilimia 57 mwezi Juni 2022 jambo ambalo limechangia kurahisisha utoaji huduma nchini….