JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kinana apokea malalamiko ya mauaji ya wananchi Serengeti

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara Abdulurhaman Kinana amepokea malalamiko mbalimbali yakiwemo ya mauaji yanayotokea katika maeneo ya hifadhi wilayani Serengeti mkoani Mara ambapo ametumia nafasi hiyo kukemea na kusisitiza hakuna mwenye haki ya kukatisha uhai wa…

RC Mbeya atembelea Kawetele eneo kulikoporomoka mlima

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Komedi Juma Homera amefika mlima Kawetele uliopolomoka alfajiri ya leo na kusababisha kufukiwa kwa nyumba 20, ngโ€™ombe wanne na kuharibika kwa miundombinu ya Shule ya Maryโ€™s katika Mtaa wa Gombe…

Rais Mwinyi azindua sherehe ya miaka 60 ya muungano wa Tanzania

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema mafanikio makubwa yaliyofikiwa na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye nyanja zote za maendeleo, kisiasa, Uchumi, utamaduni na huduma za jamii yameipatia nchi heshima kubwa kwenye…

Mwenge kuzindua miradi ya bilioni 5/- Muheza

Na Oscar Assenga, JamhuriMedia, Muheza Mwenge wa Uhuru Kitaifa unatarajiwa kukimbizwa wilayani Muheza Aprili 15 mwaka huu ukitokea wilaya ya Tanga na utazindua miradi yenye thamani ya zaidi ya Sh Bilioni 4 ya maendeleo. Akizungumza na waandishi wa habari leo…

Bunge Marathon yafana Dodoma

Na Dotto Kwilasa,JamhuriMedia,Dodoma Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Dkt. Tulia Acksonamezindua mbio za Bunge Marathon leo Aprili 13,2024 katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma lengo ni kukusanya fedha…

Makala asikiliza kero kisayansi

Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Amos Makala amesikiliza kero za wananchi wa mji wa Mpanda kwa staili ya aina yake. Makala ambaye anaongozana na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi…