JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waraibu kunufika na mikopo ya asilimia 10

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Serikali imefikia uamuzi wake wa kuongeza kundi la waraibu wa dawa za kulevya katika wanufaika wa mikopo ya fedha zitokanazo na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri nchini ili waweze kufanya shughuli za…

Serikali yatoa mil.893/- kuboresha miundombinu shule za msingi Songea

Na Albano Midelo,JamhuriMedia,Songea Serikali imetoa shilingi milioni 893 kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya shule za msingi (BOOST) katika Halmashauri ya Manispaa ya Songea. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea Dkt.Frederick Sagamiko wakati anatoa taarifa ya utekelezaji wa…

Mandonga atambulisha ngumi yake mpya ya ‘Kingugi’

Na Eleuteri Mangi Bondia machachari Karim Said maarufu Mandonga Mtu kazi ametembelea banda la Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo ambapo ametangaza ngumi mpya iitwayo ‘Kingugi’ anayotarajia kuitumia kwenye mchezo wa marudiano na Bondia Daniel Wanyonyi kutoka Kenya. Mandonga ametangaza…

MSD yawanoa watumishi kada ya madereva

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Watumishi wa MSD wa kada ya udereva, wamejengewa uwezo kupitia mafunzo mbalimbali yanayoandaliwa na taasisi hasa katika eneo la huduma kwa wateja wakati wa usambazaji bidhaa za afya. Mafunzo hayo yanayofanyika mkoani Morogoro yamekutanisha madereva wote…

Majaliwa: Mjadala wa bandari usiligawe taifa

……………………………… Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mjadala unaoendelea kuhusu uwekezaji kwenye bandari ya Dar es Salaam usiligawe Taifa kwa sababu Serikali ya awamu ya sita ni sikivu. “Mjadala unaoendelea kuhusu bandari ya Dar es Salaam usitugawe Watanzania. Usipelekee tukasambaratika. Tusitumie…