JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

CBE waja na kozi ya uchunguzi wa rushwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro MKUU wa Wilaya ya Morogoro, Rebecca Nsemwa, amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kuanzisha kozi ya uchunguzi wa masuala ya  ufisadi na  kupambana na rushwa. Amesema kozi hiyo itasiadia kwa kiwango kikubwa nchi…

Rais Samia aboresha huduma za afya Manispaa Tabora

Na Allan Kitwe, JamhuriMedia, Tabora HALMASHAURI ya Manispaa Tabora imepokea zaidi ya bil 1.3/ kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya kuboresha upatikanaji huduma za afya kwa wananchi katika zahanati na vituo vyote vya kutolea huduma za afya. Hayo yamebainishwa jana…

Mgomo wa daladala Mwanza waathiri wananchi

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mwanza Madereva wa usafiri wa umma, maarufu ‘daladala’ wamegoma mkoani Mwanza, huku taarifa za awali zikieleza sababu ni kushinikiza kuondolewa kwa muingiliano wao (daladala) na pikipiki za miguu mitatu, maarufu ‘bajaji’, katika vituo vya kupakia abiria….

Ajali yaua tisa Bagamoyo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Pwani Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na lori la mizigo, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Pius Lutumo amesema ajali…

NMB, ZASCO zasaini makubaliano kuongeza thamani zao la kimkakati Z’ Bar

na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Zanzibar BENKI ya NMB na Kampuni ya Mwani Zanzibar (ZASCO), zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU), ya ushirikiano, lengo kuu likiwa ni kuliongezea thamani zao la kimkakati la Mwani na kupanua wigo wa mchango wake katika kukuza…