Author: Jamhuri
Katambi: Mishahara na maslahi ya madereva imeboreshwa
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Serikali imesema mshahara na maslahi kwa madereva imeboreshwa kupitia amri ya kima cha chini cha mshahara kipya kilichoanza kutumika Januari mosi 2023. Amesema, utaratibu wa kazi kwa madereva wanaoendesha magari ya IT unafanyika kwa kuingia makubaliano…
Ruvuma kuzindua kampeni ya kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia
Mkoa wa Ruvuma unatarajia kuzindua kampeni ya kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Julai 22 mwaka huu katika uwanja wa Majimaji mjini Songea. Mwenyekiti wa Kampeni hiyo katika Mkoa wa Ruvuma Stephen Ndaki…
Bei ya ufuta Lindi yazidi kupaa
Jumla ya tani 2,284 za ufuta ghafi kutoka kwa wakulima wa halmashauri za Mtama, Lindi na Kilwa Mkoani Lindi wanaohudumiwa na chama kikuu cha ushirika Lindi Mwambao zimeuzwa katika mnada wa kwanza uliofanywa na chama hicho kwa bei ya juu…
Miaka 40 jela kwa ujangili meno ya tembo Lushoto
Mahakama Wilayani Lushoto mkoani Tanga mwishoni mwa wiki hii imewatia hatiani watuhumiwa 3 ambao ni Hassan Kashamba, Elihudi Andrew na Godson Kitau kwa makosa mawili ya kukutwa na kijihusisha (Possession and Dealing) na nyara za serikali ambazo ni meno matano…
Shirika la Akili Platform Tanzania latoa elimu ya kujitegemea kwa vijana
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Tabora Shirika la Akili Platform Tanzania limeendelea kuunganisha vijana waliopo katika mfumo wa elimu ya vyuo pamoja na wenye ulemavu Mkoa wa Tabora kwa kuwapatia elimu juu ya kilimo mviringo na elimu ya kujitegemea ili kutunza…