JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Baraza jipya la Madaktari Tanganyika lazinduliwa

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amezindua Baraza jipya la Madaktari Tanganyika linalotarajia kudumu kwa muda wa miaka mitatu, huku moja ya jukumu la Baraza hilo ni kumshauri Waziri wa Afya katika masuala ya udhibiti, utoaji…

Biteko ataka sekta ya madini kuchangia zaidi fedha za kigeni

Zikiwa zimetimia Siku 100 tangu ateuliwe na kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan Februari 27, 2023 kuiongoza Wizara ya Madini, Juni 7, 2023, Katibu Mkuu Kheri Mahimbali akizungumza na Watumishi wa Wizara, aliwaeleza…

Rais Museveni akutwa na Korona

Rais wa Uganda Yoweri Museveni amesema ameambukizwa Uviko-19 baada ya moja ya vipimo vitatu vilivyofanyiwa uchunguzi kubainika kuwa na virusi. Museveni, ambaye alitoa hotuba ya hali ya taifa mapema Jumatano, alisema alijihisi kuwa na homa kidogo, hali iliyomfanya kupimwa. Katibu…

Rais Samia amteua Prof. Makubi kuwa Mkurugenzi MOI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wa taasi mbalimbali ambapo amemteua Prof. Abel N. Makubi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa (MOI). akichukua nafasi ya Dkt. Respicious Boniface ambaye amemaliza muda…

Wanafunzi wa St Joseph Dar wabuni Satellite

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Wanafunzi na wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Joseph cha jijini Dar es Salaam, wamebuni Satellite ambayo hadi kukamilika kwake itagharimu Dola za Marekani 250,000. Wanafunzi hao ni Steven Makunga, David Seng’enge na Doris Ndaki wanaosoma…