JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Bima ya afya kwa wote suluhu ya kudumu ya matibabu kwa rika zote

Na WAF, Bungeni Dodoma. Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Bima ya afya kwa wote itakuwa suluhu ya kudumu kwa wananchi wote ikiwemo watoto wasio na wazazi na wasiojiweza ambao awali walikuwa wakilipiwa na wahisani kupitia “Toto Afya…

Zaidi ya watoto milioni 3 kupata chanjo ya Polio kwenye mikoa sita nchini

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Afya kwa kushirikiana Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wadau wa Sekta ya Afya inatarajia kuendesha Kampeni ya kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa polio kwa watoto zaidi ya Milioni 3,250,598 walio chini ya…

Taa za barabarani Kwa Mathias Pwani zaanza kufanyakazi

Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Pwani Matumizi ya taa za kuongoza magari katika Makutano ya barabara eneo la KwaMathias yameanza tangu Septemba 07 usiku . Aidha ,kwasasa mpango huo ,kazi inaendelea katika Makutano ya Mlandizi. Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa…

Naibu Katibu Mkuu madini afanya mahojiano na jarida maarufu la Jeweller

Mahojiano kuhamasisha fursa za uwekezaji Sekta ya Madini Nchini Na Wizara ya Madini- Bangkok Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo Septemba 7, 2023 alifanya Mahojiano na Mwakilishi Maalum wa Jarida la The New Jeweller, Anand Parameswaran katika Maonesho…

Harambee ya Rais Mwinyi yatoa mwanga mafanikio ya kilimo 2030

Na Alex Kazenga, JamhuriMedia,Dar es Salaam Harambee iliyoendeshwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hassan Mwinyi katika Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) 2023, imeonyesha mwanga wa mipango ya serikali kwenye sekta ya kilimo…