Author: Jamhuri
Bola Tinubu aapishwa kuwa Rais wa Nigeria
Rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu ameapishwa leo kuwa kiongozi wa taifa hilo lenye idadi kubwa zaidi ya watu barani Afrika linalokabiliwa na changamoto nyingi. Anaingia rasmi madarakani huku raia wakiwa na matumaini mapya ya maisha bora na masuala mengine…
Wabunge wafurahishwa utekelezwaji mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameusifu mradi wa bomba la Mafuta Ghafi la Afrika ya Mashariki (EACOP) kwa kutoa fidia nzuri kwa waliopitiwa na mradi huo na kutoa kipaumbele katika maeneo mengine ikiwemo utunzaji wa mazingira….
Bashungwa awakabidhi majenerali wastaafu magari mapya
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mheshimiwa Innocent Lugha Bashungwa (Mb) amewakabidhi Magari Mapya, Jenerali George Marwa Waitara (Mstaafu) pamoja na Jenerali Robert Philemon Mboma (Mstaafu) tukio lililofanyika Ofisi za Wizara, Mtumba Jijini Dodoma. Akikabidhi Magari hayo, Mheshimiwa…
Majeruhi18 wa ajali ya uwanja wa Mkapa
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana amewajulia hali majeruhi 10 wanaoendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Wilaya Temeke waliojeruhiwa kutokana na tukio la kukanyagana katika Uwanja wa Benjamin Mkapa wakati wakijiandaa kuingia kutazama mechi kati…
Chongolo ahitimisha ziara yake wilayani Mufindi mkoani Iringa
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Ndugu Daud Yasin (kulia) na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini (CCM), David Mwakiposa Kihenzile pamoja na Viongozi na wanachama wengine wakitembea kwa miguu kuelekea…