JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Daktari feki akamatwa Muhimbili

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkazi wa Dar es Salaam aliyejitambulisha jina la Mussa Mawa amekamatwa katika maeneo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akijihusisha kutapeli wananchi wanaopata huduma kwa kujifanya daktari. Mkuu wa Idara ya Ulinzi Bw. Alfred Mwaluko amesema kuwa…

Jeshi lapindua madaraka Gabon

Maafisa wa jeshi wameonekana kwenye televisheni ya taifa nchini Gabon wakisema wamechukua mamlaka. Walisema wanafuta matokeo ya uchaguzi wa Jumamosi, ambapo Rais Ali Bongo alitangazwa mshindi. Tume ya uchaguzi ilisema Bongo alishinda chini ya thuluthi mbili tu ya kura katika…

Pwani yaongoza utekelezaji mkataba wa lishe kitaifa

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Pwani Mkoa wa Pwani umeongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kwa tathmini ya Saba (7) ya utekelezaji wa Mkataba wa Lishe kwa Mwaka 2022/2023. Taarifa zilizotolewa na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa…

Yanga SC yaichakaza JKT Tanzania 5-0

Klabu ya Yanga imeendelea kutoa dozi nzito kwenye ligi kuu Tanzania bara maarufu NBCPL mara baada ya kufanikiwa kuizamisha mabao 5-0 timu ya JKT Tanzania mchezo uliopigwa kwenye dimba la Chamazi Complex Jijini Dar es Salaam. Yanga SC walienda mapumziko…