JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Msajili Hazina aanza kuita waombaji bodi za mashirika

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Ofisi ya Msajili wa Hazina imeanza kutekeleza mageuzi katika muundo na utaratibu wa kusimamia mashirika na taasisi za umma hususani katika kuajiri na kufukuza watendaji wakuu wa mashirika hayo. Pia, serikali imetekeleza utaratibu…

Wawekezaji 58 kutoka nje ya nchi waonyesha nia kuwekeza katika kongani ya viwanda KAMAKA Pwani

Na Mwamvua Mwinyi, JamhuriMedia, Kibaha Wawekezaji 58 kutoka nje ya nchi wameonyesha nia ya kuwekeza katika kongani ya kisasa ya Modern Industrial Park -KAMAKA Co. Ltd iliyopo Disunyara, Mlandizi Kibaha mkoani Pwani . Licha ya nia hiyo ya wawekezaji ,Kongani…

Tanzania yaondolewa kwenye orodha ya madeni makubwa

Tanzania imeanza vizuri mwaka 2024 baada ya kuondolewa kwenye orodha ya nchi zenye madeni makubwa Afrika. Taarifa ya Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) jana iliyotoa orodha ya nchi 10 zenye madeni makubwa Afrika, ilisema kitendo hicho cha Tanzania kuondolewa…

RC Kigoma akabidhi msaada wa sh.mil. 27 Katesh

Na Bryceson Mathias, JamhuriMedia, Kigoma Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye amekabidhi misaada mbalimbali yenye Thamani ya zaidi ya Shilingi Mil. 27 kwa wakazi walioathiriwa na maafa yaliyotokana na mafuriko  yaliyosababisha maporomoko ya tope katika mlima Hanang kata ya…

Serikaki yatambua umuhimu wa wananchi kutoa maoni masuala ya kitaifa

Na Magrethy Katengu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Januari Makamba imesema inatambua umuhimu wa wananchi kushiriki katika maamuzi yanayohusu masuala ya kitaifa na kimataifa ikiwemo utoaji wa maoni kuhusu marekebisho…