Author: Jamhuri
Timu ya wakaguzi kutoka CAF imehitimisha ukaguzi salama
Na Eleuteri Mangi, JamhuriMedia, Zanzibar Timu ya Wakaguzi ya utayari wa nchi za Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji AFCON 2027, kutoka Shirikisho la Mpira Afrika (CAF) imehitimisha ukaguzi wao salama Agosti 2, 2023 Zanzibar. Akizungumza mara baada ya kikao…
Msongo wa mawazo watajwa kuwa sababu ya kuathiri afya ya wajawazito
Na Catherine Sungura, Dar es Salaam Wajawazito nchini wametakiwa kukaa katika mazingira yasiyowaletea msongo wa mawazo katika kipindi chote cha ujauzito na unyonyeshaji ili kufanya maziwa yatoke vizuri na mtoto kupata lishe bora na kukua vizuri Wito huo umetolewa leo…
Taasisi ya Saratani Uganda watembelea Muhimbili kujifunza
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Mohamed Janabi amekutana na jopo la wataalamu kutoka Taasisi ya Saratani Uganda (Uganda Cancer Institute). Kiongozi wa Jopo la wataalamu hao Bw. Godfrey Osinde amesema kuwa wamekuja Tanzania…
Mwenge kuzindua miradi 59 yenye thamani ya bil.24.2/- Geita
Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023 zimewasili mkoani Geita kutokea mkoani Shinyanga ambapo utakimbizwa katika halmashauri sita, kutembelea, kukagua na kuzindua miradi 59 yenye thamani ya Sh bilioni 24.2. Akizungumuza wakati wa mapokezi ya mwenge katika kijiji cha…
Upatikanaji dawa, vifaa tiba Muhimbili, Amana wafikia asilimia 97
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Hospitali ya Taifa Muhimbili na Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Amana Amana zimesema upatikanaji wa dawa na vifaa tiba kwa sasa ni asilimia 97. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mfamasia wa Hospitali ya Muhimbili Nelson Faustine…
Dk Mpango avutiwa na wabunifu wa COSTECH Nanenane Mbeya
Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango, amekiri kuvutiwa na uwezeshaji kwa wabunifu wazawa unaofanywa na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH), aliyoitaka kuhakikisha inaenda mbali zaidi kwa kukifanyia kazi kilio chao cha kutaka kuwapatia Mafunzo ya Mifumo ya Kielektroniki, Ili…