Author: Jamhuri
Serikali yainusuru shule ya msingi Mwalivundo kufungwa
Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Mkoa wa Pwani, amesema Serikali imeinusuru shule ya msingi Mwalivundo kwa kupeleka fedha kujenga madarasa,choo kwa gharama ya zaidi ya milioni 120 ,shule ambayo ilikuwa kwenye hatari ya kufungwa kutokana na…
Misime:Bodaboda wafuate sheria iliyopo
Na. Abel Paul wa Jeshi la Polisi Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa limeendelea kupokea maswali toka kwa wanahabari na wananchi wa kada mbalimbali kufuatia matamshi ya Mhe.Abdulrahman Kinana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara aliyoyatoa Julai 27,2023 huko Bariadi Mkoa…
Ofisa wa TRA afariki kwa kujirisha ghorofani Tanga
Mfanyakazi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) Mkoa wa Arusha, Richard Walalaze (35) amekutwa amefariki baada ya kujirusha kutoka ghorofani jijini Tanga. Akithibitisha tukio hilo Kamanda wa PolisiMkoa wa Tanga, Henry Mwaibambe amesema kuwa mfanyakazi huyo amejirusha kutokaghorofa ya pili ya…
Ndumbaro afurahishwa wananchi kujitokeza kupata msaada wa kisheria Ruvuma
Na Cresensia Kapinga, JamhuriMdia,Songea Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia ni Mbunge wa Songea mjini Dkt. Damas Ndumaro ameonesha kufurahishwa na jinsi wananchi wa Mkoa wa Ruvuma wanavyoendelea kujitokeza kwa wingi katika maeneo mbalimbali ya mkoani humo kwa ajili…
Majaliwa akaribisha wawekezaji kwenye mbolea
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobobea kwenye sekta ya mbolea ili waje kufungua viwanda vya mbolea nchini. Ametoa mwaliko huo wakati akizungumza kwenye mjadala uliohusu Uimarishaji wa Soko la Mbolea kama njia ya kuondoa njaa barani Afrika uliofanyika kwenye…
TASAC kuendelea kuimarisha udhibiti huduma za usafiri majini
Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Mkurugenzi wa Shirika la uwakala wa Meli Tanzania (TASAC)Kaimu Abdi Mkeyenge amesemakatika kipindi cha Julai, 2022 hadi Juni, 2023 TASAC imeendelea kuimarisha udhibiti huduma za usafiri majini na kuhakikisha kuna ushindani sawia miongoni mwa watoa…