Author: Jamhuri
Majaliwa akutana na balozi wa Tanzania nchini Uturuki
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemtaka balozi wa Tanzania Nchini Uturuki Seif Idd Bakari aweke msisitizo katika kusimamia utekelezaji wa sera ya mambo ya nje ikiwa ni pamoja na kudumisha diplomasia ya uchumi, kuhamasisha uwekezaji na upatikanaji wa masoko wa bidhaa…
Misaada hii itasaidia kutekeleza miradi ya maendeleo” – Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na msaada wa fedha zilizotolewa na Jumuiya ya Umoja wa Ulaya (EU) kwa lengo la kuimarisha miradi itakayoongeza tija na ufanisi katika sekta mbalimbali ambayo inatekelezwa nchini. Akizungumza…
‘Tunaishukuru Korea Kusini kusaidia huduma za afya’
NAIBU Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili-Mloganzila, Dk Julieth Magandi amesema Serikali ya Korea Kusini kupitia vyuo na taasisi zake, imekuwa na ushirikiano uliowezesha hospitali kuongeza ufanisi katika utoaji huduma bora kwa wananchi. Dk Magandi amesema hayo leo alipokutana na…
Prof.Shemdoe aongoza timu ya wataalam kwenda nchini Ireland
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe ameongoza timu ya wataalam kutoka nchini Tanzania unaotembelea nchi ya Ireland kwa ajili ya mashirikiano ya namna ya kuboresha Sekta ndogo ya Maziwa Nchini Tanzania Kwa…
Bahi kinara ukamilishaji miradi ya BOOST
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule amekabidhiwa na Mkuu wa Wilaya ya Bahi Godwin Gondwe madarasa 51, vyoo 63 na nyumba 1 ya waalimu ikiwa ni sawa na shule 7 zilizokamilika katika Wilaya ya Bahi….