Author: Jamhuri
NMB yatoa msaada wa milioni 39 sekta ya elimu Kanda ya Kati
Benki ya NMB imetoa msaada vifaa mbalimbali kwa sekta za elimu na afya vyenye thamani ya shilingi milioni 39 kwa Wilaya za Kanda ya Kati zikiwemo Mpwapwa, Kondoa na Chemba ikiwa ni utekelezaji wa sehemu ya dhamira yake ya kurudisha…
Wadau watambua nia nzuri ya Serikali ya maboresho ya sheria ya habari
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Wadau wa habari pamoja na asasi za kiraia wametambua hatua nzuri iliyofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt.Samia Suluhu Hasssan ya mabadiliko ya sheria mbalimbali zinazolalamikiwa. Hayo yamebainika kwenye kongamano la siku mbili…
Kesi ya aliyekuwa bosi PSSSF, hukumu haijakamilika
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Mahakama ya Wilaya ya Ilala imesema bado haijakamilisha kuandaa hukumu katika kesi inayowakabili Meneja wa Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma(PSSSF) Kanda ya Arusha,Rajabu Kinande na wenzake wanne Washtakiwa hao wanakabiliwa na shtaka la…
Rais mpya wa Nigeria aenda Uingereza ‘kupumzika’
Rais mteule wa Nigeria Bola Tinubu amesafiri hadi Ufaransa na Uingereza “kupumzika” na kupanga mpango wa mpito kabla ya kuapishwa kwake Mei 29. Tunde Rahman, msemaji wa Bw Tinubu, katika taarifa yake Jumatano alisema kuwa mteule aliondoka nchini Jumanne. Kwa…
Marekani yaipongeza Tanzania kwa kutoa taarifa za ugonjwa Marburg
Balozi wa Marekani nchini Tanzania Dkt. Michael Battle ameipongeza Tanzania kwa uwazi na utoaji wa haraka wa Taarifa kwa umma kuhusiana na ugonjwa wa Marburg mkoani Kagera. Ameyasema hayo jana jijini Dodoma alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Afya…