Author: Jamhuri
Rais Mwinyi aweka mikakati ya kumaliza tatizo la ajira
Na Tatu Saad,JamhuriMedia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameweka mikakati ya kumaliza tatizo la ajira kwa vijana na wananchi kwa ujumla huko Zanzibar. Rais amekuwa akiwapa vipaumbele vijana na wananchi wake katika…
Safari ya Dkt.Samia na mapinduzi makubwa kwenye sekta ya elimu Kibaha Mji
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriKMedia,Kibaha Ni takribani siku 730 zinazobeba Miezi 24 sawa na saa 17,520 ,sawa na miaka miwili ya Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kazini baada ya kifo cha Hayat Dkt.John Magufuli kututoka, na kuacha majonzi kwa Taifa ,kumpoteza Rais akiwa…
Khamis:Rais Mwinyi amevuka malengo ya Ilani ya CCM
Tangu kuingia madarakani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi,tayari miradi 223 imesainiwa na kuvuka lengo la Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hayo yamebainishwa leo Machi 13,2023 na Katibu wa Kamati Maalumu ya…
Simba yamvulia kofia Rais Samia, yamuahidi makubwa dhidi ya Horoya
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Wakati timu ya Simba ikiibuka na ushindi wa bao 3-0 dhidi ya Mtibwa Sugar ya Turiani mkoani Morogoro, uongozi wa klabu hiyo umesema ni jambo zuri kuwa na Rais wa nchi anayependa michezo kiasi cha…
Mume aua mke na kumzika chumbani
Na Benny Kingson,JamhuriMedia,Tabora Salma Hamis Maulid (34), mkazi wa Mtaa wa Mbirani, kata ya Kidongo-Chekundu katika Halmashauri ya Manispaa Tabora ameuawa na mume wake na kisha kuzikwa chumbani. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani hapa Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP)…
Baleke aibeba Simba, yaichapa Mtibwa 3-0
Mshambuliaji Mkongo, Jean Baleke amefunga mabao yote matatu leo Simba SC ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara Uwanja wa Manungu Complex, Turiani mjini Morogoro. Baleke aliyesajiliwa dirisha dogo…