Author: Jamhuri
‘Tutaendelea kupokea maoni ya wadau kuboresha sera za wananchi kiuchumi’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali imesema itaendelea kupokea maoni ya wadau ya kuboresha sera za Uwezeshaji wananchi kiuchumi kwa makundi mbalimbali ikiwemo vijana, wanawake na watu wenye Ulemavu katika sekta zote nchini. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri…
Musiigeuze Mediterenia kuwa bahari ya mauti – Papa Francis
Mkuu wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amelaani kile alichokiita “uzalendo wa uadui” na ametaka Ulaya iungane kushughulikia uhamiaji ni kuzuia kuigeuza Bahari ya Mediterenia kuwa “kaburi la heshima”. Mkuu huyo wa Kanisa Katoliki ameyazungumza kwenye hotuba yake refu ya…
Miongo miwili ilivyoipaisha TMDA
Na Mwandishi Wetu Jamhuri Media, Dar es salaam Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imeeleza mafanikio makubwa iliyoyapata kwa kipindi cha miaka 20 tangu kuazishwa kwake. Tangu ianzishwa 2003 kama taasisi hadi 2023 TMDA imepiga hatua mbalimbali za mafanikio…
Chalamila ataka kasi ya usambazaji majisafi Dar
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila leo Septemba 22, 2023 katika muendelezo wa ziara yake Wilaya ya Kigamboni kukagua ufanisi wa uzalishaji wa maji Safi katika Mkoa huo, jukumu linalotekelezwa na Mamlaka…
Serikali yakabidhi vifaa tiba vya mil.500/- Hospitali ya Wilaya ya Kivule
Na Mwandishi Wetu Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD), imekabidhi vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 500 kwa hospitali ya Wilaya ya Ilala (Kivule), lengo ni kuboresha hali ya utoaji huduma wilayani humo. Vifaa hivyo ni pamoja na Vitanda…
Rais Samia aelekeza wananchi waliovamia Hifadhi Bwawa la Mindu kupatiwa viwanja
Siaa atatua migogoro ya ardhi Morogoro hadi usiku Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza wananchi 357 wa kata ya Mindu mkoani Morogoro waliovamia eneo la hifadhi…