JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Ruangwa wajivunia Rais Samia

Na Immaculate Makilika – MAELEZO Wananchi wa Wilaya ya Ruangwa, Mkoa wa Lindi wameonesha kupongeza jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na ujio wake katika Wilaya hiyo umewapa faraja. Wakazi hao wakizungumza katika nyakati…

‘Watumishi wa umma jiepusheni na mikopo ya kausha damu’

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa  Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete (Mb) amewatahadharisha Watumishi wa Umma kujiepusha na mikopo yenye riba kubwa maarufu kwa jina la ” Kausha Damu” huku akisisitiza kuwa mikopo ya aina  hiyo…

RC Chalamila: Usafi Dar ni ajenda ya kudumu

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Usafi Duniani katika viwanja vya Zakhiem Mbagala Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam. RC Chalamila…

Chalamila kula sahani moja na vinara wa biashara za magendo

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe Albert Chalamila ameonyesha kutofurahishwa na vinara wa biashara za magendo ambao hupitisha bidhaa mbalimbali katika bandari bubu pasipo kulipa kodi ambapo amesema hali hiyo haivumiliki…

Polisi yatoa onyo wanaojichukulia sheria mkononi

Na Mwandishi wetu Jeshi la Polisi-Dar es Salaam Jeshi la Polisi nchini limesema kuwa kwa mujibu wa sheria za nchi limepewa jukumu la kulinda maisha ya watu na mali zao ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa jukumu hilo ambalo limepata…