Author: Jamhuri
Tanzania ya kwanza kusaini mkataba wa kituo cha huduma ya dharura cha maafa
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Dodoma Tanzania imekuwa nchi ya kwanza miongoni mwa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC, kusaini mkataba wa kuanzishwa kituo cha huduma za kibinadamu na oparesheni za dharura za kanda. Akizungumza mapema hii…
Serikali: Wamiliki wa viwanda zingatieni sheria ya mazingira
Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imewataka Wawekezaji na wamiliki wa viwanda nchini kuzingatia Sheria ya Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira zilizoanishwa na Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi Mazingira(NEMC) wakati wa uanzishaji, uendelezaji wa viwanda nchini. Agizo hilo limetolewa jana…
Mwalimu achomwa kisu na mwanafunzi hadi kufa nchini Ufaransa
Mwanafunzi wa shule ya sekondari amemchoma kisu mwalimu hadi kufa katika shule moja katika mji wa Saint-Jean-de-Luz nchini Ufaransa. Msemaji wa Serikali ya Ufaransa Olivier VĂ©ran amethibitisha shambulio hilo la Jumatano na kusema kuwa mshukiwa alikuwa na umri wa miaka…
Tembo wachelewesha SGR, Gwajima rukhsa treni binafsi
Na Mwandishi Wetu,Dar es Salaam Umuhimu wa uhifadhi wanyamapori hususan tembo umesababisha kuchelewa kuanza kwa majaribio ya safari za treni ya SGR, maarufu kama treni ya mwendokasi nchini; imeelezwa. Safari za majaribio zilitarajiwa kuanza mwezi huu kati ya Dar es…
Utata kufutwa Gwambina FC
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Misungwi Takriban mwezi mmoja tangu kutangazwa kufutwa kwa timu ya soka ya Gwambina ya Misungwi mkoani Mwanza kwa madai ya mmiliki wake kukerwa na mwenendo wa maofisa wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), undani wa tukio…
Nini kinaendelea Uwanja wa Ndege Chato?
Na Daniel Limbe, Jamhuri Geita Wakati kukiwa na uvumi kwamba Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita umetelekezwa na sasa unatumika kwa kuanikia nafaka, hali sivyo ilivyo. Uwanja huu bora na wa kisasa uliojengwa wakati wa utawala wa Awamu ya…