JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Museveni apimwa na kukutwa tena na virusi vya Corona

Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza Jumatano kuwa amepima na kupatikana tena na virusi vya Covid-19. Rais wa Uganda Yoweri Museveni apatikana tena kuwa na virusi vya Corona Rais huyo mwenye umri wa miaka 78 alitengwa baada ya kupimwa na…

Simbachawane alitaka e-GA kuimarisha kituo chake cha utafiti kuongeza ubunifu wa TEHAMA

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora George Simbachawene, ameiaka Mamlaka ya Serikali mtandao (e-GA) kuimarisha Kituo cha Utafiti, Ubunifu na Uendelezaji wa Serikali Mtandao (eGovRIDC) ili kutengeneza…

Rais Samia: Vitega uchumi kama hivi vitaongeza tija kwa NSSF

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema miradi ya vitega uchumi inayofanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) itaongeza tija kwenye Mfuko. Amesema hayo Juni 14, 2023 wakati alipotembelea mradi wa ujenzi…

Madaktari Uingereza waanza mgomo wa siku 3

Madaktari wadogo nchini Uingereza wameanza mgomo wakionya kuwa kutakuwa na “athari kubwa katika utoaji huduma kwa wagonjwa”. Mgomo huo wa siku tatu (3) umekuja huku kukiwa na tishio la migomo zaidi katika kipindi chote cha kiangazi iwapo serikali haitasusia ofa…

Wananchi kupatiwa matibabu ya dharura hospitali ya Nyang’hwale

Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Nyang’hwale mkoani Geita imekamilisha ujenzi wa jengo la dharura (EMD) liliojengwa kwa ufadhili wa mgodi wa Barrick Bulyanhulu kwa Sh milioni 69 lengo kuwapa wananchi huduma ya dharura kwa ukaribu. Hayo yalisemwa jana na…

Wawili wapandikizwa uume Benjamini Mkapa

Wanaume wawili waliokuwa na matatizo ya  nguvu za kiume kutokana na matatizo mbali mbali ya kiafya, wamefanyiwa upasuaji na kupandikizwa uume katika Hospitali ya Benjamini Mkapa (BMH) kwa kushirikiana na Chama cha Madaktari Bingwa wa upasuaji wa mfumo wa mkoji…