JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Kishindo cha Rais Samia, ziara ya siku tatu Zambia

Na Wilson Malima Lusaka Zambia.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliwasili nchini Zambia kwa ziara ya kikazi ya siku tatu na kupokelewa na mwenyeji wake Rais Hakainde Hichilema katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa…

Tanzania, Ujerumani kujadili kurejesha mabaki ya miili ya Watanzania walipoteza maisha wakati wa ukoloni

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali za nchi za Tanzania na Ujeruman zimesema zitafanya mazungumzo yatakayowezesha mabaki ya miili ya Watanzania walipoteza maisha wakati wa ukoloni yaliyopo nchini Ujerumani yanarejeshwa nchini. Akizungumza leo Oktoba 31, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam…

Viongozi wazungumzia uadilifu na utiifu wa Zelothe

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Viongozi wa Chama na Serikali waliopata fursa ya kuzungumza wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi (mstaafu) wa Jeshi la polisi nchini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, Marehemu…

NMB yapata faida kabla ya kodi ya sh 569 robo ya tatu ya mwaka 2023

Faida Baada ya Kodi ya TZS Bilioni 398, ikiwa in ukuaji wa asilimia 22% mwaka hadi mwaka *Jumla ya mali zote zimefikia TZS Trilioni 11.5, ikiwa ni ukuaji wa asilimia 22 mwaka hadi mwaka Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es…

Biteko awasilisha bungeni azimio la Tanzania kuridhia mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo amewasilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania azimio la kujiunga na Mkataba wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati Jadidifu (Statute of the International Renewable Energy Agency –…