JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Samia atimiza ndoto ya bwawa la mifugo la mwaka 1975

Na Edward Kondela,JamhuriMedia Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ametimiza ndoto ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ya kujenga upya bwawa ambalo Mwalimu Nyerere alilijenga mwaka 1975 na kupasuka mwaka 1978. Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega (Mb) amebainisha hayo…

Ridhiwani achanja mbuga ziara yake ya kata kwa kata

Na Mwamvua Mwinyi,Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze ambae pia ni Naibu Waziri wa Ardhi ,Ridhiwani Kikwete amewaasa wakandarasi pamoja na maeneo ambayo yanazungukwa na ujenzi wa miradi mbalimbali ya Serikali kuhakikisha inatoa kipaombele cha ajira kwa wazawa wanaozunguka miradi…

Kiparang’anda yawaangukia wadau, yahitaji mil.7.3/- kumaliza ujenzi wa ofisi ya kata

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia,Mkuranga Zaidi ya sh.milioni 7.3 zinahitajika kwa ajili ya kumalizia mradi wa ujenzi ofisi ya Kata ya Kiparang’anda Mkoa was Pwani. Akizungumza na wadau wa maendeleo katika kikao maalum cha maendeleo,Diwani wa kata hiyo, Shomari Mwambala ambaye pia…

EWURA yaibuka kidedea uhusiano mzuri vyombo vya habari, Kaguo mtendaji bora

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imeibuka mshindi wa kwanza kwa Taasisi zenye uhusiano mzuri na vyombo vya habari, TRA imeshika number mbili na CRDB imekuwa ya tatu, Tuzo hiyo imetolewa na Chama cha Maafisa Uhusiano…

TAKUKURU Katavi wabaini miradi ya bil.1.7/- kuwa na kasoro

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi imebaini kuwepo kwenye miradi iliyotekelezwa katika Halmashauri mbalimbali za mkoa huu ikiwa na upungufu wa zaidi ya Shilingi Bilioni 2.1 na wameweza kuchukua hatua mbambali kwenye miradi hiyo. Hato…