Author: Jamhuri
Tanzania, Austria kushirikiana elimu ya ufundi, utalii, biashara na uwekezaji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Serikali ya Jamhuri ya Austria zimekubaliana kuimarisha sekta za elimu ya ufundi pamoja na utalii. Makubaliano hayo yameafikiwa katika Mkutano wa Waziri wa Maliasili na Utalii, Angelah…
Mchengerwa ataka DART iongeze watoa huduma ili kuboresha huduma ya usafiri Dar
OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa ameelekeza Uongozi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kuongeza watoa huduma ili kuboresha huduma ya usafiri wa haraka kwa wananchi wa Dar…
Rais Samia: Dhamiara ya kubadilisha bomba la mafuta TAZAMA, kujenga bomba jipya la gesi iko palepale
Na Wislon Malima, JAMHURI MEDIA Lusaka Zambia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema wataendelea na dhamira ya kubadilisha Bomba la Mafuta lililopo la Tanzania-Zambia (TAZAMA) na kujenga bomba jipya la gesi asilia kutoka Dar…
Mavunde : Mkutano wa wakandarasi umeitangaza Tanzania kwenye sekta ya madini yaliyo chini ya bahari
Na Richard Mrusha, JamhuriMedia, Dar es Salaam Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, amesema mkutano wa wakandarasi uliofanyika jijini Dar es Salaam umekuwa na tija kubwa na wakihistoria na ni jambo ambalo halijatokea nchi nyingine yeyote Afrika bali Tanzania hivyo, hiyo…
Prof.Janabi: Wataalamu sekta ya afya wanahitaji msaada wa ujuzi na maarifa kuliko aina nyingine ya msaada
Na Mwandishi Wetu, JamburiMedia Wataalamu wa sekta afya wanahitaji msaada wa ujuzi na maarifa kuliko aina nyingine ya misaada kwa kuwa itasaidia kusambaza maarifa hayo kwa vizazi na vizazi na hatimaye kusaidia kuokoa maisha. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa…





