Author: Jamhuri
EU na Tanzania kuingia mkataba wa ushirikiano katika tafiti za kina.
Na Mwandishi Wetu JAMHURI MEDIA, Cape Town Naibu Waziri wa Madini, Dkt. Steven Kiruswa amewakaribisha Wawekezaji kuja Tanzania kuwekeza katika Utafiti, Uchimbaji pamoja kujenga Viwanda vya kusafishia Madini, ili kuongeza thamani kabla ya kusafirishwa kwa ajili ya kuuzwa nje ya…
Watanzania waliokuwa Israel warejeshwa nyumbani
Na Mwandishi Wetu Watanzania 9 waliokuwa nchini Israel wamerejea nyumbani na kulakiwa na Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Stephen Byabato katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini…





