JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Dkt. Samia awaalika Yanga kwa chakula cha jioni kesho Jumatatu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kesho Juni 5, 2023 ameialika timu ya Dar es Salaam Young Africans (Yanga) kwa chakula cha jioni Ikulu, Jijini Dar es Salaam kwa lengo kuipongeza kwa kufanya vizuri katika…

Yanga yashindwa kuweka historia, Mayele akichukua kiatu cha dhahabu

Klabu ya Yanga imeshindwa kuwa mabingwa licha kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya USM Algers kwenye mchezo wa Fainali kombe la Shirikisho mkondo wa pili mara baada ya matokeo ya kwanza akiwanyumbani kuruhusu kufungwa mabao 2-1. Katika mchezo huo…

Waziri Dkt.Tax amwakilisha Rais mkutano wa ICGLR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 10 wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali…

Serikali kuwachukulia hatua watumishi walioshindwa kujibu hoja za CAG Z’Bar

Na Mwandishi Wetu, JamhuriiMedia, Zanzibar Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesema itawachukulia hatua za kisheria watumishi kutoka taasisi na mashirika ya Umma walioshindwa kutoa majibu kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) katika ripoti ya mwaka wa…

Wizara kushirikiana na wafanyabiashara wakubwa wa madini

Serikali inatambua umuhimu wa Sekta binafsi katika mchango wake kwenye Sekta ya Madini na inapongeza juhudi za sekta hiyo katika kuwekeza kwenye Sekta ya Madini ili kuongeza mchango katika Pato la Taifa. Lengo la kukutana ilikuwa ni kuifanya Sekta ya…