JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mbunge Kabati: Wanawake tushirikiane kumuunga mkono Dkt.Samia

Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Iringa Wito umetolewa kwa wanawake wote nchini, kushikamana kwa kuhakikisha wanamuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika jitihada zake mbalimbali za kuwainua wanawake kiuchumi. Wito huo umetolewa na Mbunge…

Serikali kuimarisha ushirikiano sekta ya kilimo, maliasili

……………………………………………………………………………… Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo, Seif Shaaban Mwinyi, amesema serikali zote mbili za Tanzania na taasisi zake zitaendelea kuimarisha mashirikiano ili ziweze kuleta maendeleo nchini. Akizungumza katika hifadhi ya Msitu Pugu kanda ya Mashariki wilaya…

Serikali kuwezesha huduma za kibenki kimataifa

Na Farida Ramadhani, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema kuwa itaendelea kutoa ushirikiano kwa benki za biashara nchini kuanzisha kampuni tanzu nje ya nchi ili kusambaza huduma za kibenki katika nchi mbalimbali na kurahisisha ufanyaji wa biashara kati ya nchi na nchi….