JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Waislamu waigomea Serikali mtaala wa elimu dini mseto

Na Aziza Nangwa, JamhuriMedia, Dar Taasisi na jumuiya za kiislamu Tanzania, haikubaliani na hatua ya Serikali kusimamia dini ya kiislamu na kuifundisha Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 10, 2023, Amiri Jumuiya na Taasisi za Kislamu Tanzania Alhajj Sheikh…

Jeshi la Polisi litaendelea kushirikisha jamii kutokomeza uhalifu nchini

Na Abel Paul wa Jeshi la Polisi-Tanga Jeshi la Polisi limesema litaendelea kushirikisha Jamii katika kupambana na uhalifu katika maeneo mabalimbali hapa Nchini huku likipongeza wadau wenye mapanzi mema na Jeshi hilo kwa mashirikiano wanayoyaonyesha katika Mapambano dhidi ya uhalifu…

Biteko: Hakuna mradi utakaosimama chini ya uongozi wa Rais Samia

Na Mathias Canal, JamhuriMedia, Geita Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mbunge wa Jimbo la Bukombe ambaye pia ni Waziri wa Madini Mhe Dkt Doto Mashaka Biteko amewahakikishia Wananchi wa Mkoa Geita kuwa Miradi yote mikubwa ya kimkakati…

TSB kuzalisha tani elfu 60 za mkonge

Na Esther Mbussi, JamhuriMedia, Mbeya Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), Saddy Kambona, amesema moja ya malengo ya bodi hiyo kwa mwaka huu ni kuzalisha tani 60,000 kutoka tani 48,000 mwaka jana. Kambona amesema hayo jijini Mbeya katika…