Author: Jamhuri
Makamba afanya mazungumzo na kampuni zitakazotekeleza mradi wa LNG
Na Mwandishi Wetu,JAMHURI MEDIA. Dodoma Waziri wa Nishati, January Makamba amekutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Kampuni zitakazotekeleza Mradi wa kuchakata na kusindika Gesi ya Asilia (LNG). Makamba amekutana na viongozi hao ambao ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya…
FCS yaja na mradi wa ‘Uraia Wetu’ kuchagiza mchakato katiba mpya
Mkurugenzi Mtendaji wa FCS, Bw. Francis Kiwanga (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa “Uraia Wetu” kwaajili ya kukuza uwezo wa AZAKi na kuongeza hamasa na wigo wa ushiriki wa wananchi katika machakato wa…
hospitali ya Mirembe yapewa jina jipya
Na Mwandishi Wetu, JAMHURI MEDIA Serikali imesema kuwa ina mpango wa kubadili jina la Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe na kuwa Nationa Instute for Mental Health Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu katika semina maalum…
Ahukumiwa miaka 40 jela kwa kuzini na binti yake
Na Mwamvua Mwinyi,JAMHURI MEDIA Mahakama ya Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani imemuhukumu Fadhili Hai,(58), Mkazi wa Kwa Mfipa – Kibaha kifungo cha miaka 40, viboko 12 na kulipa fidia ya Sh milioni 04 baada ya kupatikana na hatia ya kuzini…
Wanafunzi waililia serikali kukikarabati chuo cha afya Songea
Na Cresensia Kapinga, Songea. Serikali kupitia Wizara ya Afya imeombwa kuona umuhimu wa kukifanyia ukarabati chuo cha Afya na Sayansi shirikishi cha Songea ambacho kipo katika hali mbaya kufuatia majengo ya chuo hicho kuwa chakavu. Wakiongea kwa nyakati tofauti baadhi…
Lisu ataka waliompiga risasi kuendelea kutafutwa
Na Dotto Kwilasa, JAMHURI MEDIA, Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA)Tundu Lissu amefika katika kituo kikuu cha Polisi Dodoma kuona gari alilokuwemo ndani yake wakati akishambuliwa September 7,2017 Jijini hapa eneo la Area D. Ikiwa imepita…