Author: Jamhuri
Biashara kati ya Tanzania na Ufaransa yaongezeka
……………………………… Ukuaji wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha shilingi billioni 27.8 kwa mwaka 2015 hadi bilioni 94.5 kwa mwaka 2022. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.)…
‘Hakuna haki bila uwajibikaji katika utumishi wa umma’
………………………. Watumishi wapya kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu Mkuu wa Serikali wametakiwa kuwajibika ipasavyo katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kuwa hakuna haki bila uwajibikaji katika Utumishi wa Umma. Hayo yamesemwa tarehe 4 Mei, 2023 na Naibu Wakili…
Wanne wa familia moja wafariki kwa kuungua na moto
Watu wanne wa familia moja Kijiji cha Malola B Kata ya Malola Tarafa ya Mikumi Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro wamefariki baada ya nyumba waliokuwa wakiishi kuungua moto usiku wa kuamkia Mei 5, 2023. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa…
Mradi wa shule bora utakavyoboresha ufundishaji KKK, kupunguza utoro Pwani
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia, Pwani Jamii mkoani Pwani ,imeaswa kujenga tabia ya kufuatilia maendeleo ya masomo ya watoto wao ngazi ya shule za awali hadi msingi ,ili kuwajengea uwezo wa kujua Kusoma ,Kuandika na Kuhesabu . Hatua hiyo ,itasaidia kupunguza changamoto…
Wadau watakiwa kupaza sauti kuhusu biashara haramu ya kusafirisha binadamu
Serikali imewataka wadau na jamii kupaza sauti kuhusiana na biashara haramu ya kusafirisha binadamu ili Serikali iweze kujua na kuchukua hatua kali kwa wahusika. Hayo yameelezwa leo Mei 4,2023 jijini Dodoma na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya…