JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Polisi Shinyanga wakamata watuhumiwa 132 kwa uhalifu

Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga kupitia kitengo cha upelelezi kwa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia Machi 22,2023 hadi Aprili 26,2023 limefanikiwa kukamata na kuwafikisha mahakamani watuhumiwa 132 . Akitoa taarifa hiyo kwa wanahabari Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani…

Bilioni 4.65 kutumika kuboresha uzalishaji NARCO

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika mwaka wa fedha,2022-2023,imetenga Sh 4.65 bilioni kwa ajili ya kuboresha na kuongeza uzalishaji katika ranchi za Kongwa na Mzeri. Mtendaji Mkuu wa Kampuni za Ranchi za Taifa-…

COSTECH yataka Watanzania kuunga mkono bunifu za vijana

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma. TUME ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH)imewataka watanzania kutumia bunifu zinazoibuliwa na vijana kwa lengo la kutoa hamasa na kuziendeleza hali itakayosaidia kutatua baadhi ya kero kwenye jamii . Mkurugenzi Mkuu (COSTECH) Dk.Amos Nungu,…

TMA yatoa angalizo la mvua kubwa kwa mikoa nane

Mahakama ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imetoa angalizo la uwepo wa mvua kubwa katika mikoa nane itakayonyesha kwa siku tatu kuanzia kesho Aprili 29 hadi Mei Mosi 2023. Taarifa iliyotolewa na TMA leo Aprili 28, 2023 angalizo hilo la…

Yaliyojiri ziara ya Katibu Mkuu CCM China

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndg. Daniel Godfrey Chongolo, pamoja na ujumbe wake Tarehe 17 hadi 28 Aprili, 2023 amefanya Ziara ya Kikazi na Mafunzo nchini China, ambapo walitembelea majimbo matatu (3) ikiwemo Beijing, Hebei, na Guandong. Ziara hii…

Ahukumiwa kifungo cha maisha jela kwa kumbaka mtoto wa kufikia

Mahakama ya Wilaya ya Kibaha Mkoani Pwani imemuhukumu Dickson Chilongola (37) kabila Mkaguru ambaye ni fundi wa kuchomelea vyuma ambaye ni mkazi wa Zegereni Mlandizi Wilayani Kibaha Mkoani Pwani hukumu ya kwenda jela maisha , viboko 12 na kulipa fidia…