Author: Jamhuri
Rais Samia amwandalia Rais Kagame chakula cha jioni Ikulu jijini Dar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wageni mbalimbali waliofika kwenye hafla ya chakula cha jioni alichomuandalia mgeni wake Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023…
Majaliwa:Itumieni kampeni ya huduma ya msaada wa kisheria ya mama Samia
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuitumia kampeni ya Huduma ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kutoa taarifa kuhusu uwepo wa watu, au vikundi vya watu ambao ama wanajihusisha na ukatili wa kijinsia hususan kwa watoto. Ametoa wito huo…
Rais Paul Kagame alipowasilia jijini Dar leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Rwanda Mhe. Paul Kagame mara baada ya Kuwasili katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Aprili, 2023. Rais wa Jamhuri ya…
Balile:Tunaamini upatikanaji sheria rafiki kwa wanahabari ni ya kidiplomasia
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),linaamini kuwa njia bora ya kupigania upatikanaji sheria rafiki kwa vyombo vya habari ni ya kidiplomasia. Hayo yamesemwa na mwenyekiti wa jukwaa hilo Deodatus Balile,wakati wa mkutano wa mtandaoni (online meeting) uliofanyika…
Maamuzi magumu ya Rais yalivyookoa Watanzania 200 Sudan
*Aagiza operesheni maalumu iliyofanikisha kuwarejesha Watanzania nyumbani * Tanzania pia ilisaidia kuokoa raia wa mataifa mengine, ikiwemo Marekani, Uingereza, Kenya, Uganda, Sierra Leone, Malawi, Zambia na Msumbiji Ujasiri, maamuzi magumu na ya haraka ya Rais Samia Suluhu Hassan yamefanikisha kuokolewa…
Waziri Mkuu atoa maagizo kuimarisha uhifadhi endelevu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amelitaka Jeshi la Polisi kuchunguza matukio yote yaliyotolewa taarifa kuhusu kuteswa, kuumizwa na kuuawa kwa baadhi ya Wananchi waliotuhumiwa kuingia ndani ya hifadhi na watakaobainika wachukuliwe hatua stahiki. Ametoa agizo hilo leo Alhamisi (Aprili 27, 2023)…