JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

DC Same aagiza madarasa yaliyoezuliwa paa na upepo yabomolewe

Mkuu wa Wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro Kasilda Mgeni amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo kupitia wataalam wake kwenda kubomoa kitaalamu majengo ya madarasa matano ya shule ya Msingi Kalemane iliyopo kwenye Kata ya Maore baada ya kuezuliwa na upepo ulioambatana…

Waziri Mhagama ahimiza ubora ujenzi mnara wa mashujaa

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu Jenista Mhagama amewataka wataalam kushirikiana na wakandarasi ili kuhakikisha ujenzi wa Mnara wa Mashujaa unakamilika katika viwango vyenye ubora. Mhagama ameyasema hayo wakati wa kikao chake na Wataalam, Wakurugenzi…

Rais Mwinyi aiasa jamii kujiepusheni na vitendo viovu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa taasisi mbalimbali zinazowahudumia mahujaji wanaokwenda Makka, Saudia Arabia kutekeleza ibada ya hijja baada ya kukamilika kwa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Ameyasema…

Mabula: Jumbe 84,000 zatumwa kwa wadaiwa kodi ya pango ya ardhi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk.Anjelina Mabula,amesema Wizara imefanya maboresho katika mfumo mzima wa utunzaji kumbukumbu za ardhi, utozaji wa kodi na utoaji wa huduma za Sekta ya Ardhi. Waziri Mabula ameyasema hayo leo Aprili 21,2023 jijini…