Author: Jamhuri
Mwasa: Jela miaka saba ukibainika kuharibu vyanzo vya maji
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Morogoro Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Fatma Mwassa amewataka wakazi wa mkoa huo kuwa walinzi na kuheshimu mipaka ya hifadhi ya vyanzo vya maji na kwamba serikali itawachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakao husika…
RPC Shinyanga:Tusherehekee sikukuu ya Eid El Fitri kwa utulivu
Jeshi la Polisi Mkoa wa Shinyanga limewataka wananchi kusherehekea Sikukuu ya Eid El Fitri kwa amani na utulivu huku likiwaasa wazazi kutowaruhusu watoto wao kwenda kwenye kumbi za starehe kwani kumbi hizo zipo kwa ajili ya watu wazima na si…
Maambukizi ya ugonjwa wa malaria yashuka kwa asilimia 10
Kutokana na jitihada mbalimbali zinazofanywa na serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali maambukizi ya ugonjwa wa malaria nchini Tanzania umeshuka kutoka asilimia 18.1 kwa mwaka 2018 hadi kufikia asilimia 8.1 kwa mwaka 2022. Hali hiyo imetokana na juhudi mbalimbali zinazofanywa…
Manchester City yatinga nusu fainali UEFA
Manchester City inatinga hatua ya nusu fainali UEFA Champions League kwa jumla ya ushindi wa mabao 1-4. Katika mchezo wa robo fainali uliochezwa Allianz Arena ubao ulisoma Bayern Munich 1-1 City. City ilianza kupata ushindi kupitia kwa Erling Haaland dakika…
Tanzania kushirikiana na nchi za EAC kulinda rasilimali za uvuvi ziwa Victoria
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhakikisha rasilimali za uvuvi katika Ziwa Victoria zinalindwa ili zinufaishe jamii zinazozunguka ziwa hilo na mataifa husika kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu…