JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

BoT yatoa elimu kutambua noti halali

Benki kuu ya Tanzania (BoT), imetoa mafunzo ya kutambua noti halali kwa watu wa makundi maalumu wakiwemo wasioona,wenye ulemavu wa macho na viungo. Akizungumza wakati wa kutoa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Arusha, Meneja Msaidizi Sarafu,Joyce Saidimu,alisema kuwa lengo la kutoa…

TCRA: Sekta ya usafirishaji wa vifurushi, vipeto zina mchango mkubwa

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imetoa elimu ya urasimishaji wa huduma za usafirishaji mizigo,vipeto na nyaraka kwa wadau wa usafirishaji Kanda ya Kaskazini ikiwa ni kuelekea katika kampeni ya uhamasishaji wa usajili na upataji wa leseni ya usafirishaji. Akizungumza katika warsha…

Ataka maafisa kuwafuata wananchi mitaani kutoa huduma

Na Hassan Mabuye ,JamhuriMedia ,Dodoma Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Dkt. Angeline Mabula amewataka maafisa wa sekta ya ardhi nchini kuwafuata na kuwahudumia wananchi katika mitaa yao ili kutoa huduma za ardhi kwa ufanisi. Waziri Mabula…

Wafungwa kunufaika na mpango wa bima ya afya kwa wote

Na Dotto Kwilasa, JamhuriMedia, Dodoma Serikali imesema inakamilisha Muswada wa bima ya Afya kwa wote ambapo ukikamilika utakuwa suluhisho ya upatikanaji wa huduma za afya kwa makundi yote ya kijamii. Naibu Waziri wa Afya Dkt.Godwin Mollel amesema hayo bungeni wakati…

Wadau wataka marekebisho zaidi vifungu vya sheria ya habari

Na Stella Aron, JamhuriMedia Wadau wa habari nchini wamependekeza kuongezwa kwa ya vipengele vinavyopaswa kufanyiwa marekebisho kwenye muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Huduma za Habari, ili kuwezesha uwepo wa sheria itakayoleta tija katika sekta ya habari nchini. Miongoni mwa…