Author: Jamhuri
Dk Mpango ataka ufumbuzi vifungashio Mbeya
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Mbeya Makamu wa Rais,Dk. Philip Mpango, ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kukaa pamoja na Wizara ya Fedha naMipango, Mamlaka ya Mapato (TRA) na kupata ufumbuzi wa haraka kuhusu tozo mbalimbali za vifungashio vinavyotumika katika bidhaa…
Dkt. Shelukindo akutana kwa mazungumzo na balozi wa Vietnam
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Samwel Shelukindo amekutana kwa mazungumzo na Balozi wa Vietnam, nchini Nguyen Nam Tien katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam, tarehe 9 Agosti 2023….
Majaliwa:Wekeni kipaumbele kuendeleza vijana
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi na wataalamu katika Mamlaka za Serikali za Mitaa waweke kipaumbele katika kuendeleza vijana ili washiriki kikamilifu kwenye shughuli za kuinua uchumi na kuwapatia ujuzi na mbinu za ujasiriamali. Pia, Mheshimiwa Majaliwa amesisitiza kila mkoa…
Ofisi ya Msajili vyama vya siasa yakutana na ACT – Wazalendo
Kaimu Naibu Katibu Mkuu Zanzibar ambaye pia na katibu wa Habari na Uenezi Chama cha ACT Wazalendo Salim Biman ameuongoza ujumbe wa chama hicho katika kikao cha pamoja kati ya ACT – Wazalendo na ujumbe wa Msajili wa Vyama vya…
Benki ya Dunia yasitisha mikopo Uganda
Benki ya dunia imetangaza inasitisha mikopo mipya kwa Uganda kutokana na nchi hiyo kupitisha sheria kali dhidi ya watu wa jinsia moja walio katika mahusiano ya kimapenzi. Benki hiyo ilisema sheria hiyo inayoharamisha LGBTQ iliyopitishwa miezi michache iliyopita inakwenda kinyume…
Mkurugenzi Safaricom ajiuzulu
Aliyewahi kuwa Afisa Mtendaji Mkuu mwanzilishi na baadaye Mkurugenzi wa Bodi ya Kampuni ya Mawasiliano ya Safaricom PLC, Michael Joseph amejiuzulu wadhifa wake, taarifa ya Safaricom imesema uamuzi huo umefanyika Agosti 1. Joseph, ameshiriki kuongoza kampuni hiyo katika nafasi mbalimbali…





