Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Msanifu Majengo kutoka Chuo Kikuu cha Ardhi Saul Nkini kuhusiana na hatua mbalimbali za Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu mara baada ya kuzindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipanda mti kama ishara ya kumbukumbu mara baada ya kuzindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua vyumba mbalimbali vya uchunguzi na kutolea huduma katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja na Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, Mikindani Mkoani Mtwara tarehe 15 Septemba, 2023

By Jamhuri