Author: Jamhuri
Wanafunzi wanusurika baada ya bweni kuteketea kwa moto Songwe
Wanafunzi zaidi 60 wa kidato cha tano na sita katika shule ya Sekondari Vwawa day iliyopo katika mji wa Vwawa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wamenusurika baada ya bweni lao kuteketea kwa moto asubuhi ya April, 14 wakiwa darasani na…
Wagonjwa 6,000 wa Hemophilia hawatambuki
Imeelezwa kuwa, wagonjwa 6,000 wenye ugonjwa wa Hemophilia hawajatambulika, huku kati yao wagonjwa 294 pekee ndio walioanza matibabu nchini Tanzania. Akizungumza jijini Dar es Salaam, wakati wa semina kwa waandishi wa habari na wataalamu wa afya, MRATIBU Wa Kuongeza Kasi…
Mahakama ya Tanzania yazidi kupanda chati uboreshaji huduma
Na Stephen Kapiga,JamhuriMedia,Mwanza Msajili Mkuu-Mahakama ya Tanzania,Wilbert Chuma amesema kuwa Mahakama imepiga hatua kubwa katika kuhakikisha kuwa upatikanaji wa nakala za hukumu kwa ngazi ya Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu kupitia tovuti ya Tanzlii na hivyo kuweza kumrahisishia mwananchi…
TACAIDS:Tanzania yapunguza maambukizi ya UKIMWI kwa asilimia 88
Imeelezwa kuwa, Tanzania imepunguza maambukizi ya UKIMWI kwa asilimia 88 kutokana na vifo vitokanavyo na UKIMWI kupungua kwa asilimia 50 kutoka vifo 64,000 mwaka 2010 hadi 32,000 mwaka 2020. Hayo yamelezwa jana jioni Jijini Dodoma wakati wa mawasilisho yaliyohusu tathmini…
Dkt. Tax akutana na Rais mstaafu wa Msumbiji
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Stergomena Tax amekutana na kuzungumza na Rais Mstaafu wa Msumbiji Joaquim Chisano jijini Dar es Salam. Dkt. amemshukuru Chisano kwa kukubali mwaliko wa kuja kushiriki utoaji wa Tuzo za…