Author: Jamhuri
Korea Kusini yakaribishwa kuwekeza Tanzania
Na Na: Saidina Msangi, WF, Busan, Korea Kusini Tanzania imeikaribisha Jamhuri ya Korea ya Kusini kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo nishati na kilimo nchini Tanzania ili iweze kufikia lengo la kuwa na maendeleo endelevu. Wito huo umetolewa na Balozi wa…
Waziri Jafo aongoza zoezi la usafi Dodoma
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo amewahimiza wakuu wa mikoa kusimamia ajenda ya usafi wa mazingira kila Jumamosi asubuhi ili kuifanya miji kuwa safi. Pia, ameelekeza kila mwananchi ashiriki kikamilifu kufanya…
Rais Samia: Barabara ya Newala – Masasi ni muhimu kwa usafirishaji mazao sokoni
Na Immaculate Makilika -MAELEZO, JamhuriMedia, Mtwara Barabara ya Mtwara – Mnivata yenye urefu wa km 50, ni sehemu ya barabara ya kusini itokayo Mtwara – Newala hadi Masasi kupitia Wilaya za Tandahimba na Newala yenye urefu wa km 210. Barabara…
RC Chalamila: Viongozi wa dini chachu ya maendeleo na ustawi wa jamii
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amesema biongozi wa dini wanawajibu mkubwa katika jamii katika kuleta maendeleo na ustawi wa taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo leo Septemba 14, 2023 katika ukumbi wa mikutano Yombo unaomilikiwa na Chuo…
‘Dhana ya ufuatiliaji na tathmini itekelezwe kwa vitendo’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Arusha Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Ummy Nderiananga amewasihi wataalam na wabobezi mbalimbali wa eneo la Ufuatiliaji na Tathmini kuitekeleza dhana hiyo kwa vitendo. Naibu…





