Author: Jamhuri
Rais Samia awataka watunza kumbukumbu kutunza siri, kuwa na nidhamu
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Makatibu Muhsusi na Watunza kumbukumbu kuwa na nidhamu, uadilifu na kutunza siriĀ kwani ndio chachu ya maendeleo. Amesema wanapaswa kuzingatia weledi wa taaluma zao kwa kushirikiana katika utekelezaji wa majukumu yao kwa kuzingatia miongozo na…
Mmarekani ahukumiwa miaka 20 jela kwa kusafirisha dawa za kulevya
Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imemuhukumu Lione Lionel Rayford raia wa Marekani kifungo cha miaka 20 jela baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin kiasi cha kilo 2.188. Hukumu hiyo…
Spika Dkt. Tulia atoa wito kwa nchi za SADC kuendeleza ushirikiano
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amezitaka nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zishirikiane kutumia rasilimali zilizopo kutatua changamoto zinazowakabili wananchi wa Jumuiya hiyo. Dkt. Tulia ameyasema hayo wakati…
Wasira, Nyerere waeleza Mkono alivyogusa maisha yao na jamii
Na Mwandishi Wetu, Jamhuri Media Mwanasiasa Mkongwe Tanzania ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati Ndogo ya Mazishi, Stephen Wasira ameeleza namna Nimrod Mkono alivyojitoa kwa hali na mali hata kutumia pesa zake kuwasaidia wananchi enzi za uhai wake. Wasira ameeleza…





