JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Mvua kubwa ya mawe yaacha vilio Tabora

…………………………………………… Mvua kubwa ya upepo iliyoambatana na mawe imeharibu zaidi ya ekari 15 kati ya 75 za zao la Tumbaku zilizolimwa na kusababisha hasara kubwa kwa baadhi ya wakulima wa Chama cha Msingi cha Ushirika wa Wakulima wa Tumbaku Ngulu,…

Tanzania, Comoro kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Comoro zimesaini Hati ya Makubaliano (MoU) wa kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja kati ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yamesainiwa leo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Majaliwa:AMCOS Mbozi kuchunguzwa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali itafanya uchunguzi kwa vyama vya Msingi vya Ushirika (AMCOS) wilayani mbozi mkoani Songwe na watakaobainika kuhusika na ubadhirifu wowote watachukuliwa hatua kwa mujibu wa sheria. Mheshimiwa Majaliwa ametoa kauli hiyo baada ya Mbunge wa…

Rais afanya uteuzi mwingine

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- Amemteua Antony Diallo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA). Bw. Diallo anachukua nafasi ya Prof. Anthony Mshandete…

Rais Samia awataka wakandarasi kufanyakazi kwa ufanisi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amewataka Wakandarasi wazawa walioshinda zabuni kuhakikisha kufanya kazi zenye ubora kwa ufanisi, uaminifu na kufuata makubaliano yaliyofikiwa katika mikataba. Rais Samia ametoa wito huo leo wakati akishuhudia utiaji saini mikataba ya…