Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mafuta ya kula yaliyotokana na alizeti wakati alipotembelea banda la wilaya ya Chunya katika maonesho ya Wakulima ya Kimataifa  Nanenane kwenye uwanja  wa John Mwakangale jijiii Mbeya, Agosti 3, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama miche parachichi wakati alipotembelea banda la kikundi cha Chilongola  Agro Ferest  cha Mafinga mkoani Iringa katika maneosho ya wakulima ya Kimataifa Nanenane kwenye viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya Agosti 3, 2023. Kulia ni Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na kulia kwa Waziri Mkuu ni mlezi wa kikundi hicho na Mbunge wa viti maalum Iringa, Ritta Kabati.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ufugaji wa kisasa wa samaki aina ya Sato wakati alipotembelea banda la Wizara ya Mifugo na Uvuvi katika maonesho ya wakulima ya kimataifa Nanenae kwenye uwanja wa John Mwakangale jijini Mbeya, Agosti 3, 2023. Kushoto kwake ni Mbunge wa Mbeya Mjini na Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson. (Picha na Ofisi a Waziri Mkuu)

By Jamhuri