JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Tanzania kunufaika na mabilioni kulinda mazingira

Tanzania inatarajia kunufaika na mradi wenye thamani ya Shilingi 120 Bilioni kwa ajili ya miradi ya uhifadhi wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi kutoka Mfuko wa Mazingira wa Dunia (GEF). Hayo yamesemwa leo Jumatatu (Februari 13, 2023) Jijini Dodoma na…

Majaliwa: Marufuku kutumikisha watoto kwenye machimbo

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Wakuu wa wilaya kwenye maeneo yenye shughuli za uchimbaji wa madini wahakikisha wanakemea vitendo vya ukatili dhidi ya watoto badala na yake watoto hao wapelekwe shule kwa ajili ya kupatiwa elimu. Majaliwa amesema kuwa kumekuwa…

Serikali yatangaza kupeleka aina 10 za bidhaa soko huru Afrika

Na Mwandishi Wetu,JamhuriMedia Serikali imetangaza kuwa kuanzia Julai Mosi mwaka huu itaanza kupeleka aina 10 za bidhaa katika Soko la Huru la Biashara Afrika ambalo Tanzania ni mwanachama. Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa Uwekezaji, Viwanda…

Bodi ya DAWASA yapongeza maendeleo ya mradi wa JNPPP

………………………………………………………………………………………………….. Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Maji Safi na Maji Taka Dar es Salaam (DAWASA), imepongeza maendeleo ya utekelezaji ujenzi mradi wa kimkakati wa kufua umeme kwa maji wa bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) utakaozalisha jumla ya megawati 2,115…