JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Rais Samia awaandalia Iftar viongozi, wageni mbalimbali Ikulu Chamwino Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpa Futari mtoto Yatima Shuraiya Ramadhan (6) wa Kituo cha Watoto Yatima cha Rahman kilichopo Chang’ombe Jijjini Dodoma. Rais Samia aliwaandalia Iftari Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali Ikulu Chamwino…

Sanga : Tutahakikisha tunatoa hati kupitia mradi wa LTIP

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amesema wizara yake itahakikisha inatoa Hatimiliki za Ardhi katika maeneo yote Mradi wa Uboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) unatekelezwa. Mhandisi Sanga amesema hayo leo tarehe 27…

Makamu wa Rais ahitimisha Jukwaa la uwekezaji la Tanzania, China

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini China na mataifa mengine kuwekeza nchini Tanzania kutokana na mazingira rafiki ya kijiografia, kimiundombinu, kisiasa, kisera na kisheria yaliyopo. Makamu wa Rais amesema…

Wadau wachambua miaka mitatu ya Samia

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuongeza fursa hasa za ushiriki wa sekta binafsi katika kupanua wigo wa ukuaji wa uchumi nchini. Hayo yamebainishwa jijini Dar…

Tanzania yapokea ugeni kutoka China waonesha nia ya kuwekeza

Na Magrethy Katengu,JamhuriMedia,Dar es Salaam Tanzania imepokea ugeni wa jopo la wataalamu likiwa limeambatana na wawekezaji na viongozi wa Serikali kutoka Jimbo la Changzhou Nchi China ambao wameonesha nia ya kuwekeza kwa kujenga viwanda vya kuzalisha bidhaa mbalimbali ikiwemo power…

Wadau wachambua miaka mitatu ya Samia

Na Tatu Mohamed, JamhuriMedia, Dar es Salaam Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan amefanikiwa kuongeza fursa hasa za ushiriki wa sekta binafsi katika kupanua wigo wa ukuaji wa uchumi nchini. Hayo yamebainishwa jijini Dar…