Author: Jamhuri
Rais Samia awalilia waliokufa ajalini Dodoma, atoa maagizo kwa vyombo vya dola
………………………………………………………….. Watu 12 wamefariki dunia na wengine 63 wamejeruhiwa katika ajali ya gari iliyotokea usiku wa kuamkia leo Alhamisi Februari 9, 2023 wilayani Kongwa mkoani Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema kuwa ajali hiyo imehusisha magari mawili…
EWURA yatoa msaada wa vifaa tiba ya mil.5.2/- Nyamagana
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa msaada wa vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi milioni 5.2 kwa hospitali ya Wilaya ya Nyamagana ili kuboresha huduma za afya za akina mama wanaojifungua katika hospitali hiyo. Msaada…
Dkt.Samia anunua magari 727 ya kubebea wagonjwa
Na WAF- Dodoma NAIBU Waziri wa afya Dkt.Godwin Mollel amebainisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa fedha za kununua magari ya kubebea wagonjwa (Ambulance) 727 zitazosaidia kurahisisha huduma za rufaa nchini. Dkt.Mollel amesema…
Tetemeko la ardhi Tanga mtaalamu aeleza haya
Tetemeko la ardhi linalokadiriwa kuwa na ukubwa wa 4.8 katika kiwango cha Richter limeripotiwa kutokea mkoani Tanga. Tetemeko hilo lililotokea takribani kilomita 33 kutoka usawa wa kisiwa cha Pemba jana Februari 08, 2023 lilipiga katika maeneo ya fukwe za Kayumbu…
Majaliwa:Serikali iko makini na inafuatilia miradi yote
…………………………………………………….. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan iko makini na itaendelea kufuatilia miradi yote inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali nchini ili kudhibiti matumizi mabaya ya mali ya umma. Pia Majaliwa…