Author: Jamhuri
Wizara yapokea muundo unaopendekezwa wa Shirika la Polisi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imepokea muundo unaopendekezwa wa Shirika la Uzalishaji Mali wa Jeshi la Polisi kutoka kwa timu ya Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakiongozwa na Profesa John…
Tanzania, Kenya zakubaliana kutatua vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru
Tanzania na Kenya zimekubaliana kuendelea kutatua vikwazo vya kibiashara visivyo vya kiushuru kwa kuwa na Mpango wa pamoja wa kuwianisha tozo, ada , ushuru, ada na sheria au taratibu zinazoathiri biasharabaina ya pande hizi mbilmasharti mengine yanayoathiri biashara pamoja na…
‘Simiyu ina takwimu kubwa za watu wenye TB’
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Simiyu Mkoa wa Simiyu bado una takwimu kubwa za watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu (TB), ambapo takwimu zinaonyesha watu 3,321 walibainika kuwa na maambukizi mwaka 2023. Akizungumza na waandishi wa habari kuelekea maazimisho…
Aweso : Ufinyu wa bajeti umekwamisha miradi mingi ya maji
Na Mwandisho Wetu, JamhuriMedia, Dodoma Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema miradi mingi ya maji ilishindwa kufanikiwa kutokana na ufinyu wa bajeti lakini katika kipindi kifupi cha miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu bajeti ya wizara ya Maji imeongezeka na…
94 wakamatwa Tanga makosa ya uhalifu
Jeshi la Polisi Mkoa Wa Tanga limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 94 kwa makosa mbalimbali ikiwemo uvunjaji ,mauaji,kujeruhi ,kusafirisha wahamiaji haramu ,kuharibu mali pamoja na kupatikana na silaha sita aina ya Gobole. Akiongea na waandishi wa habari kamanda wa polisi Mkoa wa…
Klabu ya waandishi wa Habari Dar es Salaam, Polisi Kanda Maalum waunda kamati shirikishi
Na Mwandishi Wetu, JamhuriMedia, Dar es Salaam WAANDISHI wa habari na askari Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam wameshauriwa kutenda kazi kwa kuheshimu misingi ya kisheria, haki za binadamu, utu wa mtu, haki za watu na haki za msingi…





