JAMHURI MEDIA

Tunaanzia wanapoishia wengine

Author: Jamhuri

Serikali: Dar es Salaam ndio lango kuu la biashara nchini

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mary Masanja (Mb) amesema uwepo Onesho la Kimataifa la Utalii la Swahili (S!TE) katika Jiji la Dar es Salaam ni fursa kubwa kwa jijini hilo kutangaza vivutio vyake. Amesema kuwa Jiji la Dar es Salaam…

Kevela: Tuache kuchangia michango kwa wanaotaka kuoa ama kuolewa

Yono Kevela ambaye ni mbunge mstaafu wa Jimbo la Wanging’ombe mkoani Njombe amewashauri Watanzania kuacha kuchangia michango mikubwa kwa watu wanaotaka kuoa ama kuolewa badala yake waongeze nguvu ya michango kwa watoto ili waweze kupata elimu. Amesema hayo wakati akizungumza…

Chongolo: Rushwa bado changamoto kwenye chaguzi za CCM

Na Mussa Augustine,JamhuriMedia Katibu Mku wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewataka makatibu wa chama hicho kuanzia ngazi ya tawi hadi mkoa kuhakikisha wanasimamia vizuri mali za chama ili kukifanya chama hicho kuwa na maendeleo endelevu. Chongolo ametoa agizo…

Rais Samia ateua viongozi mbalimbali

Rais Samia Suluhu Hassan ameteua wenyeviti wa bodi mbalimbali na watendaji katika taasisi mbalimbali hapa nchini. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Oktoba 22, 2022 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Zuhura Yunus imesema kuwa ameteua wenye viti wa…