Author: Jamhuri
Ya Morrison yalivyompofusha Fei Toto kwa Sadio Mane
Na Mwandishi wetu Kulikuwa kuna upuuzi wa aina mbili katika kesi ya Feisal; kuamini mawakili wa Morrison wangeshinda kesi ya Feisal kama walivyoshinda kesi ya Morrison na upuuzi wa pili na kuamini Feisal alistahili kudai haki yake. Kesi ya Morrison…
Kikwete aanza ziara na kukagua miradi ya maendeleo
Na Mwamvua Mwinyi,JamhuriMedia,Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze mkoani Pwani ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete, ameanza ziara jimboni kwake . Katika ziara hiyo amekagua ujenzi wa madarasa 13 kata ya…
BoT yatoa tahadhari kuongezeka kwa udanganyifu wa fedha
Benki Kuu ya Tanzania (BoT),imebaini kuongezeka kwa udanganyifu wa fedha nchiniunaohusisha mwananchi kupokea taarifa(hati au barua pepe) inayodai kuwa ni uthibitisho wa malipo kupitia SWIFT na/au mifumo mingine ya uhamishajifedha. Mpokeaji anafahamishwa kuwa fedha zimeingizwa kwenye benki au akaunti katika…